Wachezaji wa Simba walipewa mapumziko ya siku moja baada ya mchezo wao dhidi ya Prisons uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa juzi na Mnyama kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Kikosi cha Simba leo kinarejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Lipuli FC utakaopigwa April 21 kwenye uwanja wa Samora, mkoani Iringa.
Simba inatarajiwa kuondoka kesho kuelekea Iringa tayari kwa mchezo huo ambao ushindi utaifanya iongeze tofauti ya alama baina yake na Yanga kuwa 14

ADVERTISE HERE