Selcom yaweka hadharani viingilio mpambano wa watani wa jadi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Apr 2018
Selcom yaweka hadharani viingilio mpambano wa watani wa jadi
Wakati zikiwa zimesalia siku 12 kuelekea mpambano wa wataniwa jadi, April 29, kampuni ya Selcom imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo.

Kampuni hiyo imeanza kuanza kuuza tiekti za mchezo huo mapema ili kuepuka usumbufu hapo baadae.

Imetaja viingilio vya mchezo huo utakaopigwa Aprili 29 2018 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Viingilio hivyo ni Tshs 30,000 kwa VIP A, VIP B na C ni 20, 000 huku Mzunguko ikiwa ni 7000 tu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’