Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Lipuli FC dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kupigwa Ijumaa, April 20, sasa utacheza Jumamosi, April 21 kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Lipuli FC, Ssababu ya kusogezwa mbele mchezo huo ni wamiliki wake (CCM) kuutumia Uwanja wa Samora kwa shughuli nyingine za kijamii.
Simba inatarajiwa kuondoka kesho kuelekea mkoani Iringa tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE