Mlipili nyota wa mchezo leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Apr 2018
Mlipili nyota wa mchezo leo
Beki wa kati Yusuph Mlipili ameibuka kuwa nyota wa mchezo wa kikosi cha Simba kilichoichapa Prisons mabao 2-0 leo.

Mlipili alikuwa muhimili imara wa safu ya ulinzi ya Simba ambayo leo haikuruhusu bao.

Ameibuka mshindi baada ya kupigiwa kura na mashabiki wengi wa Simba kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za klabu hiyo.

Mlipili amejihakikishia namba kwenye kikosi cha Simba kinachonolewa na kocha Mkuu Pierre Lechantre.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’