Washambuliaji wa Simba Emanuel Okwi na John Bocco leo wamefikisha mabao 33 baada ya wao kufunga mabao yaliyoipa Simba ushindi wa mabaop 2-0 dhidi ya Prisons.
Okwi amefikisha mabao 19 wakati Bocco yeye amefikisha mabao 14. Wawili hao wanaonekana kuwa na ligi ya peke yao kuwania kiatu cha dhahabu.
Okwi anakaribia kuvunja rekodi ya mabao 21 iliyowekwa na mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe misimu miwili iliyopita.
Anahitaji kufunga mabao mawili tu ili kuifikia rekodi hiyo

ADVERTISE HERE