Azam FC 'yachemsha' kuifukuza Simba kileleni, yachapwa 2-0 na Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2018
Azam FC 'yachemsha' kuifukuza Simba kileleni, yachapwa 2-0 na Ruvu Shooting
Azam FC imelazwa mabao 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 24 uliopigwa kenye uwanja wa Mabatini mkoani Pwani.

Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa jana lakini uliahirishwa baada ya uwanja kujaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mkoani Pwani.

Mabao ya Ruvu Shooting yalifungwa na Khamis Ncha na Fully Maganga.

Azam FC inaendelea kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Yanga ikiwa na alama 45 baada ya kushuka dimbani mara 24.

Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba wameizidi timu hiyo kwa alama 10 ikiwa na alama 55 huku ikiwa imeshuka dimbani mara 23.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’