Okwi aendeleza ufalme uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Apr 2018
Okwi aendeleza ufalme uwanja wa Taifa
Mshambuliaji hatari zaidi kwa sasa kwenye ligi kuu ya Vodacom, Emanuel Okwi leo amefunga bao lake la 18 katika mchezo ambao Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Taifa.

Okwi sasa umezidi kujiimarisha kileleni katika ligi ya wafungaji bora akiwa amemuacha Bocco anayemfuatia kwa mabao matano.

Bocco leo amefunga bao lake la 13 katika mchezo huo. Bocco sasa amemshusha Chirwa kwenye nafasi ya tatu akiwa na mabao 12.

Naye beki Asante Kwasi ameendeleza rekodi yake ya kipekee msimu huu akiwa amefikisha mabao nane.

Kwasi ndiye mlinzi pekee aliye katika kumi bora anayechuana na washambuliaji katika kuzifumania nyavu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’