Jana Msemaji wa Yanga Haji Manara alitoa 'porojo' kuwa timu hiyo msimu ujao itaanzia raundi ya kwanza kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kama itatwaa ubingwa msimu huu huku akidai kuwa Simba itaanzia hatua za awaliΒ
Ulikuwa uposhoji mkubwa kwani kinachoangaliwa ni idadi ya alama ambazo timu imevuna katika miaka mitano iliyopita
Afisa Habari wa Azam Fc Thabit Zacharia 'Zakazakazi' ameandika Makala nzuri sana ambayo imetoa ufafanuzi jinsi utaratibu unavyokuwa
ADVERTISE HERE