Simba kuishushia Mbeya City silaha za maangamizi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Apr 2018
Simba kuishushia Mbeya City silaha za maangamizi
Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba leo wanaikabili Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 23.

Mchezo huo unapigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Simba inashuka kwenye mchezo huo ikiwa na kikosi chake kamili baada ya kurejea kwa wachezaji Erasto Nyoni, James Kotei na Juuko Murshidi waliokosa mchezo uliopita wakitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Pia wale waliokuwa majeruhi Jonas Mkude, Haruna Niyonzima na Salim Mbonde nao wako kamili sasa baada ya kucheza vyema kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar.

Aidha kiwango kilichoonyeshwa na beki Paul Bukaba kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kinampa nafasi ya kurejea tena kwenye kikosi cha Simba leo ambacho bila shaka kitatumia mfumo wake wa siku zote 3-5-2.

Baada ya matokeo ya sare iliyopata Yanga jana, ushindi utaifanya Simba iongoze kwa tofauti ya alama nane na kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutwaa ubingwa mapema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’