VPL leo, Yanga yabanwa na Singida United uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Apr 2018
VPL leo, Yanga yabanwa na Singida United uwanja wa Taifa
Kesho Alhamisi Simba ina nafasi ya kuongeza tofauti ya alama kileleni hadi kufika nane kama itaichapa Mbeya City uwanja wa Taifa.

Matokeo ya sare ya bao 1-1 iliyopata Yanga leo dhidi ya Singida United yanaweza kuinufaisha Simba kama itaibuka na ushindi katika mchezo huo.

Katika michezo mingine iliyopigwa leo, Mbao FC imeichapa Njombe Mji kwa mabao 2-1, Prisons imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Kagera Sugar wakati Lipuli FC imelazwa mabao 2-1 na Mwadui FC
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’