Baada ya kumaliza adhabu zao za kukosa mchezo mmoja, wachezaji Erasto Nyoni, James Kotei na Juuko Murshidi wamerejea katika kikosi cha Simba kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City kesho.
Wachezaji hao walikosa mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar wakitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Simba inajifua kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa kesho Alhamisi, April 12

ADVERTISE HERE