Simba tayari iko Dar, yajifua Boko Veterans

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Apr 2018
Simba tayari iko Dar, yajifua Boko Veterans
Kikosi cha Simba kimesharejea jijini Dar es salaam na leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi, April 12 kwenye uwanja wa Taifa.

Vinara hao wa ligi kuu ya Vodacom wanajifua katika viwanja vya Boko Veterans jijini Dar es Salaam.

Baada ya kuzoa alama zote sita ikianzia Njombe na jana Morogoro, Simba inasaka alama nyingine tatu ili iendelee kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’