Wakati Simba ikitarajiwa kushuka dimbani Jumamosi, Oktoba 21 katika dimba la Uhuru dhidi ya Njombe Mji, michezo mingine sita itapigwa Jumamosi huku Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani Jumapili.
Ligi kuu ya Vodacom inaingia katika mzunguuko wa saba.
Michezo itakayokuwa mubashara Azam TV
Ligi kuu ya Vodacom inaingia katika mzunguuko wa saba.
Michezo itakayokuwa mubashara Azam TV
ADVERTISE HERE