Wengi walikuwa na hofu kuwa kukosekana kwa Erasto Nyoni, Kotei na Juuko kungeleta tatizo kwenye safu ya ulinzi ya Simba katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar jana.
Lakini mlinzi Paul Bukaba alithibitisha kuwa Simba imekamilika kwelikweli msimu huu.
Kiwango alichoonyesha kwenye mchezo huo ambao Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 kilimpa tuzo ya mchezaji bora wa mchezo kwa upande wa kikosi cha Simba.
Bukaba alishirikiana vyema na beki Yusuph Mlipili kabla ya kuingia kwa Salim Mbonde wote wakahakikisha Mtibwa Sugar haifungi bao

ADVERTISE HERE