Takwimu za Okwi zinakimbiza Afrika, sio Tanzania tu!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Apr 2018
Takwimu za Okwi zinakimbiza Afrika, sio Tanzania tu!
Licha ya kuwa Simba tayari imeondoshwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Okwi ameacha rekodi ya kupachika mabao Afrika.

Okwi ndiye staa pekee aliyefunga katika mechi tatu mfululizo za kombe la Shirikisho, hivyo kuwatega mastaa wa Yanga ambao wanahitaji sare tu ugenini ili kufuzu hatua ya makundi.

Okwi, ambaye anashika nafasi ya pili kwa kupachika mabao kwenye michuano hiyo, alifunga kwenye mechi mbili dhidi ya Gendarmerie ya Djibouti kisha kufunga tena dhidi ya Al Masry kwenye mechi iliyomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Mchezaji mwingine aliyeweza kufunga mabao kwenye mechi tatu mfululizo ni Felix Badenhorst wa Mbabane Swallows ya Swaziland, lakini amefanya hivyo kwenye michuano Ligi ya Mabingwa.

Mpaka sasa hakuna mchezaji yeyote wa Yanga aliyefunga mabao mawili kwenye mashindano ya kimataifa. Nyota wa Yanga, Juma Mahadhi, Emmanuel Martins, Ibrahim Ajibu na Raphael Daudi kila mmoja amefunga mara moja kwenye mashindano hayo.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’