Viongozi waandamizi wa Simba wamefika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuishuhudia Stimu yao ikiibuka na ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.
Viongozi hao wakiongozwa na Kaimu Rais wake, Salim Abdallah 'Try Again', walifika mapema kuhakikisha wanatoa sapoti ya kutosha kwa kikosi cha Simba
Mbali na Try Again, viongozi wengine ni Kaimu Makamu wa Rais, Iddi Kajuna, mjumbe wa kamati ya utendaji, Said Tully na Ofisa Habari, Haji Manara.
Viongozi hao waliingia uwanjani kwa pamoja na kushukia upande wa jukwaa la kawaida kisha kuongozana hadi jukwaa kuu.

ADVERTISE HERE