Simba yajifua Morogoro tayari kuikabili Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2018
Simba yajifua Morogoro tayari kuikabili Mtibwa Sugar
Kikosi cha Simba kinajifua uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar kesho.

Simba iko mkoani Morogoro tangu juzi ikitokea Iringa baada ya mchezo wake dhidi ya Njombe Mji.

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema maandalizi ya kuelekea mcheoz dhidi ya Mtibwa Sugar hapo kesho yanaendelea ambapo amesema wachezaji wana ari kubwa ya kuibuka na ushindi.

Habari njema ni kurejea kwa kiungo Jonas Mkude ambaye ameanza kujifua kikamilifu na kikosi cha Simba baada ya kupona majeraha ya kifundo cha mguu.

Mkude alikosa mchezo dhidi ya Njombe Mji baada ya kuumia mazoezini wakati Simba ikijiandaa na mchezo huo jijini Dar es salaam.

Mbali na Mkude, beki Salim Mbonde na kiungo Haruna Niyonzima nao wamerejea kikamilifu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’