Uongozi wa Simba umesema nafasi ya kocha msaidizi iliyoachwa wazi na jackson Mayanja, itajazwa kwesho ambapo klabu hiyo imekusudia kumtangaza kocha msaidizi mwingine.
Mayanja amejiuzulu leo akidai kutaka kushughulikia matatizo binafasi.
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amemshukuru Mayanja kwa mchango wake alioutoa kwenye klabu hiyo na kusisitiza kuwa Simba haina tatizo lolote na Mayanja.
Pande zote mbili zimeachana kiroho safi.

ADVERTISE HERE